الصكوك
Ensembles
Genres
الملحنين
الأداء

الأغاني: National Anthem. Kenya Native Anthem Text.

KiSwahili
(verse:1)
Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na udugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
(verse:2)
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya

Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda
(verse:3)
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani
Sent by Carlos Andre Pereira da Silva Branco